MAKAMU WA RAIS DKT. NCHIMBI AWASILI WILAYANI NYASA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Emmanuel Nchimbi, jioni ya leo Mei 5, 2026, amewasili katika Ikulu Ndogo ya Wilaya ya Nyasa, mkoani Ruvuma.

Mhe. Dkt. Nchimbi anatarajiwa kushiriki katika mazishi ya aliyekuwa Askofu wa pili wa Dayosisi ya Ruvuma, Askofu Stanford Shauri, yatakayofanyika Mei 6, 2026 katika Kijiji cha Liuli, Wilayani Nyasa.


 

Post a Comment

0 Comments