Cristiano
Ronaldo amefunga magoli mawili huku Sadio Mane akifunga magoli mawili
wakati Al Nassr FC ya Saudi Arabia ikiibuka na ushindi mnono wa 5-2
dhidi ya Al Najma FC kwenye mchezo wa Ligi kuu ya Saudi Arabia (Saudi
Pro League)
Nahodha huyo wa Ureno sasa amefikisha magoli 967 kwenye maisha yake ya soka akisaliwa na magoli 33 tu kufikisha magoli 1000.
Al Nassr FC 5-2 Al Najma FC ⚽ 45+8’ Al Hamdan ⚽ 45+9’ Mane ⚽ 56’ Ronaldo (P) ⚽ 73’ Ronaldo ⚽ 90+5’ Mane
0 Comments