Na Ally Mandai.
Laurindo Aurélio 'Depu' anaiandikia Young Africans Sc bao la ushindi dhidi ya Wajelajela, Tanzania Prisons katika dimba la Jamhuri, Dodoma.
Na sasa Yanga SC wamefikisha jumla ya alama 35 wakiwa nafasi ya 1 kwenye msimamo wa ligi kuu ya NBC.
TZ Prisons 0-1 Yanga Sc
79' Depu



0 Comments