WACHEZAJI 5 SIMBA SC WAPEWA MAGARI NA JAYRUTTY

 Na Ally Mandai.

Mzabuni wa jezi za klabu ya Simba SC, kampuni ya JAYRUTTY imewakabidhi magari mapya wachezaji wengine wanne wa klabu hiyo na kufanya idadi ya magari matano baada ya awali kiungo mshambuliaji, Inno Loemba kukabidhiwa gari aina ya CROWN.

Mkurugenzi wa JAYRUTTY, Joseph Rwegasira ametimiza ahadi yake ya kukabidhi magari kwa wachezaji wengine wapya na sasa golikipa Djibrilla Kassali, mawinga Libasse Gueye, Anicet Oura na beki Ismael Toure pia wamekabidhiwa magari.

TANGAZA NASI SASA,UWAFIKIE MAMILIONI YA WATEJA:Piga 0654414804. 







Post a Comment

0 Comments