Timu
ya Taifa ya Italia imeshindwa kufuzu kushiriki fainali za Kombe la
Dunia la FIFA Kwa mara ya tatu mfulululizo (2018, 2022 na 2026) baada ya
kuondoshwa kufuatia kipigo cha penalti 4-1 dhidi ya Bosnia &
Herzegovina fainali ya mchujo wa mwisho.
Kwingineko Jamhuri ya
Czech imeungana na Bosnia & Herzegovina kukata tiketi ya Kombe la
Dunia la FIFA 2026 kufuatia ushindi wa penalti 3-1 dhidi ya Denmark
kwenye mchujo wa mwisho.
0 Comments