NAIBU WAZIRI WA AFYA AAHIDI KULETA VIFAA TIBA VYOTE MUHIMU KATIKA KITUO CHA AFYA CHA MZINGA

Naibu Waziri wa Afya DKT. JAFAR SEIF Leo katika ziara aliofanya Jimbo la kivule katika kata ya Mzinga akiwa ameambatana na katibu wa Mbunge Mashaka Nyadhi katika kituo cha Afya cha mzinga amepongeza usimamizi wa kituo hicho mpaka sehemu ilipofikia na kuahidi kuyachukua maombi ya Mh Mbunge Jimbo la kivule OJAMBI MASSABURI kumalizia Vifaa tiba ambavyo vimekosekana katika kituo hicho.







 

Post a Comment

0 Comments