Mtoto wa rais wa awamu ya tano Hayati John Pombe Magufuli akiwa amekutana na rais wa sasa wa Tanzania,Samia Suluhu Hassan na kupata picha ya pamoja.
"Nimeheshimiwa kwa dhati kusimama pembeni ya Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, mfano wa kweli wa Ujasiri, Maono na Uongozi". Ujumbe wa Jesca Magufuli.

0 Comments